Bash ya kuchangamkia wagido!

June 19 2014 12:37pm     0 819

Photo Credit:Mail Online   Tingua risto

Sato ya 21st  June 2014, itakua siku jamo ndefu sana kwa mwaka. Hii ni juu inaangukia Summer Solstice. Na wachinku washaanza kujitayarisha kucelebrate hii siku na njaro ya ajaab vimost.

Enyewe kama kuna mayadi huwezi taka kukuwa mnyama, itakuwa China. Sa hisihi bash wanapanga, wameanza kutayarisha manyake kutoka kwa wagido za kujibamba nazo.

Sahii husuko kukinda wagido zako, utafly bankiko ukismile tu. Kama venye huku 254 wasee hungoja Krisi kwa hamu ndio wakinde mbuzi na kuku kwa bei za holiday, pia hao wanafeel the same.

Sielewi ni genius mniga alitoa idea yakudishi dogi, juu hadi wanadai eti inaingiza health, wanasahau ni cruelty kwa wanyama. So ata protests zikijaa zakustopisha hii dog festival, raiya wa China wanadaisha bado itaendelea.

Related Stories