Kuna vako kwa ndoto?

August 13 2014 1:10pm     0 636

Photo Credit:Google   Tingua risto

Carlos Gascon, kutoka Florida, amerushwa neti juu ya kuvaa manzi wa kwake vita yaki ajaab, siku nzima ya Friday. Mama wa kwake anadai Gascon aliamka kama amejam, na akaanza kumpatia kichapo yeseye pamoja na wagido yao. Eti kwasababu alikuwa ameota dem amecheat on him.

Husuyu mbuus alidai alirushwa kwa meza yao ya glasi, yenye ilivunjika pap. Alafu zaidi ya kuwahi beating, badio alikatwa na kisu kwa mguu, kumwagiliwa kahawa  moto na kuchokiwa. Ata karibu chali angemada mbuus wake, bahati tu ni venye alizirai vile ilifika jioni, kitu 6.45pm.

Manzi anadai alijaribu kuitana kusaidiwa coz hakuwa anaget nangos na keys zake za ndai zenye anadhani zilitupwa kwa mtaro iko njei ya keja. Kitu inashangaza ni kwani hawana maneighbour alafu utapigwa aje siku nzima na msee juu ya ndoto amehave? Unaona kama hii risto ni vako?

Mjamaa anaweza kuwa anajaribu kujitoa kwa hii noma akidai alipata maono kama amatuna! 

Related Stories