Ferare lazima kuwa cashless

July 2 2014 1:38pm     0 590

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu tene, gava imekuwa ikitaka mathree kubadilisha njaro ya kulipisha ferare. Na sahii wamefanya hisihi Cashless Fare system kukuwa lazima. Although itachukua time kabla mat za county zote kushikanisha venye kutumia hii system.

Chairman wa National Transport Safety Authority(NTSA), anadai hii system iko sawa lakini time more itahitajika for operators kueducate commuters na kuwasaidia kujua vile watatumia hizo dika na system kwa jumla.

Anazidi kudai si wera ya karao kufundishana lakini wenye mathree wanafaa kushikana na Sacco zao na kujua venye watasaidia abiria. Wacha tuone kama watafuata hii project ama itakua kama ile risto ya Michuki Laws, zenye hanaku msee anashuguli nazo!

Related Stories