Steto wakachujwa na Belgium

July 2 2014 1:39pm     0 409

Photo Credit:Ben Smith   Tingua risto

Hii ilikuwa mechi moja noma sana kati ya Steto na Belgium, hii game ikianza Steto ilikuwa imekazia Belgium kabisa kupata dude. But Kevin de Bruyne aliweza weka kitu ndani kwa net ikiwa dakika ya seko extra time na kuvunja syke ya wasee wa Steto.

Alafu Romelu Lukaku akiwa ameingia kama sub akaweza pea Belgium dude ya seko. Steto pia hawange kimya ikabaki wamesukuma kajamo ndani, kupitia Julian Green pia na yeseye alikuwa ameingia kama sub. Tunacheki Steto dakika za lanyo wangeweza pata dude kupitia either Jermaine Jones ama Clint Dempsey juu walikuwa na chances fogo sana, but kismat haikuwa pande yao.

Kulingana na Rio Ferdinand anadaisha hii mechi ilikuwa kama Premier League, alafu akadai itabidi wasee wachukulie Belgium ile serious juu enyewe hawa mavijana wanafanya mambo. Alafu pia coaches wao ananyita kupanga team, juu aki badilisha player unapata lazima ata tinga. Alafu pande ya Steto tunacheki Tim Howard alicheza role bwaku tu sana. Inasemekana alimake saves (15) kwa single match na ame make history kwa World Cup. Julian Green na yeseye aka tinga dude venye aligusa ball mara ya fao.

Shorts 17 za Belgium saba ya hizo shots zilitokea kwa dakika za last extra time. Kuna fact flani ya Belgium, hizo dude sita wametinga nne zimetingwa na ma sub. Sasa Belgium wamepenya kuingia quarter finals na watapatana na Argentina on Sato.

Related Stories