Brazil kachoreshwa saba na Germany

July 9 2014 1:24am     0 656

Photo Credit:Daily Mail   Tingua risto

Brazil imechujwa kwa World Cup leo venye wame wang'wa bao saba against yao jamo.

Match ilianza vibore na watu wa Brazil wakiplay nikama walikuwa wame forceishwa kuingia field. Otero wao Neymar alikuwa missing venye kapu wao pia alikuwa missing. Hiyo kuzubaa ilipata German waki tinga bao ya fao at the 11th minute venye Thomas Müller alipenya na corner yenye ilipata Brazil wamesleki.

Haiku kaa dakika kinde, Miroslav Klose aka banza bao kwa 23rd na hata kabla celebration haija land, Toni Kroos akabanza bao mbekses kwa 24th na  26th minute. Second half ilisha na bao ya Sami Khedira kwa 29th minute

Second half ilingafua na Brazil waki kam na ma pupa for kitu dakika kinde but shot zao zote zili stopishwa na goalie wa Germany, Neuer.

Hizo pupa zote za Brazil zilipigwa stopu na bao ya sixth kutoka kwa André Schürrle 69th min na baada ya dakika ashu aka wahi bao ya lanyo kwa 79th minute.

Brazil waliwahi consolation goal kutoka kwa Oscar kwa 90th minute

Related Stories