Lugha ya Musi

July 10 2014 2:58pm     0 722

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu wasee kupata njaro nira ya kuchapiana, imekuwa experience tofauti sana. Nangos zilikuja kuleta matata kwa maisha za watu. Lakini si kila mudhii kaumia.

Sasa hadi kuna lugha ya kutuma text ama ukipenda, utadai ni  SMS. Na ata pale wasee walikatizia risto mob za kupigiana eti kuroroa, hizi SMS zimekuwa fupi zaidi.

Utaget acronym ndio zinatumika, juu message inafaa kutumwa mbio na kwa ufupi kuruka. Unaweza yebi kadhaa hasapa nichi, ndio usibaki mataani bila kunyita kile msee anatry kukuambia.

Related Stories