Uhunye amekuwa raiya tena

October 8 2014 1:05pm     0 1396

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ndeima ya 6th Oct 2014, Uhunye alihang ngepa yake ya Orezo na kuhand over power to Deputy Prezo, William Ruto,ndio aweze kufika Hague.

Tangu kukalia kiti ya Orezo, Uhunye hajawai attend proceedings zenye zinaendelea huko Netherlands, kuhusu kesi yenye ako charged kukuwa involved na post-election violence ya 2008, hasapo International Criminal Court (ICC).

Handing over uorezo, ilimaanisha amerudi kukuwa raiya wa kawa, na ata alifika JKIA kama mjamaa anatravel  pamoja na famo na mabeshte. Wife, Margret na daughter walikuwa na yeseye pamoja na Cabinet Secretaries, MP wasita na ma Senator.

Walirudi kudandia ndege ya Kenya Airways baada ya kusendiwa off na Chief of Defence Forces General Julius Karangi na Police Chief, David Kimaiyo.

Sa tunachill venye kutaenda kwahiyo kotiko, juu wamekuwa wakisaka njaro zote za kuweka Kamwana kwa neti bana. 

Related Stories