Keja za maboti

January 28 2015 4:47pm     0 278

Photo Credit:Al jazeera   Tingua risto

Husuko Nigeria, wamekuwa na project mwenda ya kumekisha makeja na kusaidia masafara. Alafu keja zenyewe zinamekishwa na boti za plastic na inasemekanani njaro noma zaidi kuliko zile za madimanga.

Mwanzo cost ya kumekisha hizo hao ni cheap sana. Hii ni juu boti hurokotwa kwa tako na kwa streets. Ziurudi kujazwa mchanga ndio zikuwe solid, then zinawekelewa on top of each other. Matope na kamba ndio hutumika kuzishikanisha. Na hii mradi ni jamo ya vungu, ata earthquake na ridhe haziwezi kupenya.

Hisihi project imeweza kucreate waks kwa wale hushinda baze juu ya mawe. Ata hivyo msee hawezi kutumia mkwanja mob kuanzisha hii project, juu inacost a third ya jakes za kawa. Ya muhimu zaidi ni vile mtaa inabaki safi na environment inakuwa bila dangers. 

 

Related Stories