Guinea imekwara kuhost AFCON

March 2 2015 11:30am     0 426

Photo Credit:Mercy Njueh   Tingua risto

Sports minister wa Guinea, Domani Dore, anadaisha hanaku venye wanaweza host 2023 AFCON ikiwa June.

Anadasha hiyo month ya June kuna venye kunakuwaga na rain ingine fogo. So anadaisha kama FIFA inadaisha watahost hizo dates zitahave kuchange. Anasema anaelewa shida zenye ziko around FIFA na angelike ifanyikie pia AFCON.

FIFA inadaisha World Cup ichezwe 2022 November na December, instead ya June na July, so that waweze kuavoid rai na sola itakuwa hasapo June na July.

Related Stories