Swag ya kuunga!

May 6 2015 4:53pm     0 359

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama unaweza kumbuka tukiwa prima, venye kila msee alitamani kukuwa frst bodii. Ilikuwa ni riba itachapiwa term nzima ama ata mvua nzima, kwanza kama kuna fight ilitokelezea na msee mjamo kushinda.

Enyewe kuna obsessions za kiblanda na wasee wanafaa kuchunga sana chenye wanajifanyia kwa mamwili zao. Romario Dos Santos Alves, mjamaa akona miaka mbaula na ngovo, kutoka Brazil. Anadaisha anataka wadhii wachop venye alifanya vitu za ufala akiwa anatamani kukuwa bodybuilder mfyam kuliko wote.

Kumbe alikuwa anajidunga na oil, painkillers na tei, mix wanaiita synthol, eti kujaza biceps zake. Anaweza kuwa anafanana na Hulk lakini sahii anaumia vimajor. Madoki wanadaisha itabidi ameamputate mikono zake juu muscles zilidedi kitambo.

Kuzidisha anatishia waniaju kwa hood hadi wifey na mtoi wakona stress juu kuna time Romario alikuwa anataka kujimada juu ya depression. Sa maregret ndio ziko fogo na anatamani hangewai tumia hizo mix imbo .

Related Stories