Dufo mpararo cha lazima…

May 12 2015 6:08pm     0 521

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Manze kuishi kanairo imekuwa tafash bana. Kwanza kama hauna rada ya swimo, utaumia kizee! Tangu kuanze kurain imekuwa masaibu kuruka. Lakini raiya wa South B ndio wanafeel hishi heat kuliko esto zinengi.

Inadaishwa rain ya magizani Ndeima ya 11th May, iliangusha ukuta husuko Fuata Nyayo, mtaa iko ninda ya South B na kumada wadhii kinde. Hapo bafo tulicheki mambisha wasee walikuwa wamepost kwa social media zikishow venye mandae zilikuwa zimezama kwa waba ya mvua.

Kuzidisha, ile traffic jam imekwamisha wasee kwa mabaro ni fyam na blanda yote ikiwa juu tu hanaku drainage fiti jiji nzima. Mayadi za raunda za T-Mall, Ojijo, Bunyala, City Mocha,Globe, Valley Road na Lusaka zilikuwa flooded ajaabu.

Baro zinengi ziligeuka kukuwa rivee na inakuwa ngori kwa both madere na mapedestrian. Hope hisihi itafungua macho za maleader wenye wako gava na wera yao inahusu kumekisha mabaro ndio wazichangamkie kabla raiya more wazidi kugenya bure.

 

Related Stories