Waba ikatrap mastiude…

May 13 2015 11:26am     0 481

Photo Credit:Google   Tingua risto

Blanda 254 hukuwa nayo, ni kudinda kuskiza. Tulikuwa tushachapiwa that El-nino inamuja lakini hanaku msee alifanya kujipanga . Instead tulingoja hadi ikafika ndio tukanotice hisiyo rain ni mwenda.

Tunakaa kama ule ‘doubting Thomas’ mwenye alidinda kuamini eti Yesu ako alive. Sasa kwetu lazima tucheki noma ndio tugutuke eti tunafaa kufix stuff. Already tulicheki mabaro ni za kiblanda alafu drainage ya jiji ni imbo kuruka lakini bado hanaku changes zimego down.

Sa jana 12th May 2015, waniaju kinde na mjamo kutoka chuo ya Makini walikuwa trapped wakiwa kwa buu ya chuo ninda ya floods zilizamisha ndae husuko South C. inmagine walikaa hasapo stranded masaa kinde kabla rescue kumuja kuwatoa.

Raiya wengine pia walikwama kwa mabaro wakiwa wanaenda mtaani, na wale wengi walikuwa wanafika makejani ngware ya saa tisa na saa kumi.kuzidisha esto kibao sahii hazina masti juu matransformer zimekuwa affected. Na bado hii rain itazidi kuendelea hadi next month. Raundi this hanaku kuponea. 

Related Stories