Brazil vs Germany semi-finals prediction

July 8 2014 10:47am     0 362

Photo Credit:Mark Lawrenso   Tingua risto

On 8th July 2014 patakuwa na mechi ya fao za semis World Cup 2014, na zitakuwa zikiguswa kati ya Brazil wakiwa host kimoja na Argentina.

Brazil kwa game yenye waligusa last against Colombia, player wao mwenye wametegemea sana na bado akiwa player amewatingia dude mob amaeumia. Neymar akiwa na dude nne akona injury na inasemekana hakuna game ingine ataweza gusa ata kama Brazil itapenya kuingia finals. Alafu kiblanda inengi wakonayo Thiago Silva pia na yeseye hata gusa baada yaku suspendiwa juu ya kugeiwa cadi kibao.

Kuna huyu msee anajiita Mark Lawrenson ni BBC World Sport analyst expert, amakuwa aki predict ma game fogo hii World Cup na most of them amekuwa akipata vi correct. Yenye alihata ni kati Costa Rica na England. Sasa anadaisha round this Brazil itaweza penya ata kama Neymar hata gusa.

Lawrenson anadaisha Germany hawakai kushinda juu game yao na France walikuwa chini sana, juu walikuwa wanategemea Thomas Muller tu sana. Msee kama Tom Kroose game yake iko down na yeseye ni player wa kutegemewa sana, but Ozil atleast ana show perfomence.

Sasa juu game hasapa 254 ita anza magizani hasapo idhaa ya saa jamo, tunge penda uweze ku predict ni team gani itaweza penya kuingia fainali, ni chapie jo mtu nguyas.

Related Stories