Results za uefa quarter finals

April 23 2015 12:54pm     0 303

Photo Credit:Flashscore.com   Tingua risto

After battle bwaku sana kwa quarters za uefa champions league, sasa tunajua ni team gani zimepenya kugusa semi-finals. Hii wiki palikuwa na mechi kadhaa na results venye kulienda ziko hasapa first league pamoja na second league.

PSG kwa mechi yao ya fao wakiwa wanagusa na Barcelona waliweza shinda na dude moja mtungi. And the second leg PSG waka kung’utwa na Barca dude tatu kwa mbili ikabaki Barca wamepenya kuingia semi finals.

Game nyingine ilikuwa kati ya Atletico Madrid na Real Madrid kwa leg ya fao walitoka sare ya nil nil, alafu leg ya seko yenye iliguswa weno Real iliweza kung’uta Atletico dude moja mtungi na waka penya kuingia semi-finals. Game ingine yenye iliguswa on Tuesday ni kati FC Port na Barcelona, hii ndio ilikuwa game na nusu. Leg ya fao Porto ilikung’uta Bayern dude tatu kwa jamo, alafu leg ya seko Porto waka kung’utwa dude sita kwa moja.

Juventus wakiwa wangusa na Monaco leg ya fao waliweza dunga Monaco dude jamo, alafu leg ya seko wakatoka sare ya nunge. Ikabaki Juve wamejishindia tiko kuingia semis. Draw za semis zitakuwa On Friday 24th, tujue ni team gani zitamenyana kwa semis.

Related Stories