Dinga ya Orezo ika sanywa

August 29 2014 11:49am     0 281

Photo Credit:NTV Kenya   Tingua risto

Orezo akiwa coasto aki tingua show, hasapa kanairo nayo palikuwa na noma ina endelea.

Dinga jamo official ya Orezo ili sanywa ikiwa na dere, akiwa ana ishia mtaani hiyo pande ya Ruai. Dere mwenye alikuwa na hiyo dinga ana julikana kama David Muchui, alikuwa anaishia mtaani alipo kutwa na mathegi watatu na kumshambulia na ku hepa na ndai.

Mimi naweza sema ata hawa mathegi wana roho, hasapa 254 hatuskiangi kesi za eti German cars hizo husanywa, sasa hii yenye imedhanywa sijui ata inaweza kindwa wapi.

Related Stories