Come-men-tu!

October 15 2012 1:46am     0 418

Photo Credit:Women eNews Kenya   Tingua risto

Una kumbuka hii jina ... Kingwa Kamencu? Well, kama hauikumbuki basi wacha tu refresh memory yako.
Kingwa Kamencu ni ule mude wa miaka mbao-seven mwenye ana want kuwa orezo wa 254. Amekuwa chini ya waba since watu wamyebi last kwa teli aki lia.
Sisi tuna mshow asi temane na risto ya kusaka waks ... kwani kuwa orezo pia ni waks na yeseye ni kijana plus yeseye ni female so kwa owanjo kuna ma manzi watuta so far na majamaa wana dhani hisihi elections ni about majama tupu... Ama?

Related Stories